BBCSwahili.com
Maziwa Makuu
Kisomali
Arabik
Kifaransa kwa Afrika
Turqisht
 
 
Mara ya mwisho imebadilishwa: 22 Novemba, 2008 - Imetolewa 17:26 GMT
 
Aliyekuwa mkuu wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan
Aliyekuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan na aliyekuwa Rais wa Marekani Jimmy Carter wameahirisha safari waliokusudia ya kwenda Zimbabwe baada ya kunyimwa viza ya kuingia nchini humo.
 
ANGALIA/SIKILIZA
VIPINDI VINAVYOSIKIKA
 
 
Kiongozi wa waasi wa Kongo, Jenerali Laurent Nkunda amefanya mkutano katika mji mpya waliouteka wa Rutshuru, kwa kutaka kuonyesha nguvu na uasi unaofanywa na majeshi yake.
 
Msemaji wa magereza ya Kenya ameelezea kushangazwa na ukanda wa video unaonyesha namna wafungwa wanavyopigwa kikatili nchini humo, na uchunguzi umeanzishwa.
Vivutio
Picha zaidi kutoka Marekani wakati kumbu kumbu ya miaka 10 ya mashambulio ya mabomu.
Michezo
Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Jumamosi ijayo itakutangazia mechi kati ya Aston Villa na Fulham.
 
 
HALI YA HEWA
 
Utabiri
Bonyeza hapa kuangalia hali ya hewa kwenye miji tofauti.
 
 

 
  Idhaa Yetu | Wasiliana Nasi
 
BBC Copyright Logo ^^ Rejea Juu
 
  Habari | Hali Ya Hewa
 
  BBC News >> | BBC Sport >> | BBC Weather >> | BBC World Service >> | BBC Languages >>
 
  Msaada | Wasiliana nasi | Maelezo ya Faragha