Kwa nini Vijana wa Kenya wanauza kura?
Huwezi kusikiliza tena

Kwa nini Vijana wa Kenya wanauza kura?

Taarifa zinasema wakati zoezi la kuwasajili wapiga kura nchini Kenya likifikia ukingoni, vijana wengi licha ya kuchukua kura zao, wanasema wako radhi kuuza kura mradi wapate hela. Nini hasa kinawafanya vijana nchini Kenya kuuza kura yao?