Filamu ya Kitanzania  kupaa anga za kimataifa
Huwezi kusikiliza tena

Sekta ya filamu imeendelea kukua kila kukicha nchini Tanzania

Sekta ya filamu imeendelea kukua kila kukicha nchini Tanzania, ambapo filamu zinazotengenezwa sasa zinavuka mipaka na kuoneshwa kimataifa.

T Junction ni miongoni mwa filamu hizo na licha ya kwamba imeigizwa na vijana chipukizi lakini maudhui yake yameweza kugusa wengi, na kuondoa kasumba ya wengi kutokupenda kuangalia filamu za Barani Afrika .

Esther Namuhisa wa BBC ni mmoja walioangalia filamu hiyo.