Je unajua hatari ya nyama unayokula?
Huwezi kusikiliza tena

Utafiti: Wakulima wengi hutumia dawa za antibiotics kushinikiza ukuwaji wa mifugo

Utafiti umebaini kuwa ulaji nyama zenye vimelea vya Antibiotic husababisha usugu katika mwili wa binadamu. Utafiti uliochapishwa katika Jarida la Sayansi umependekeza kupunguzwa kwa ulaji wa nyama na matumizi ya dawa za antibiotic katika mifugo.

Profesa Sam Kariuki ni mtafiti anayejihusisha na suala la vimelea mwilini kutosikia dawa.