Magenge yawazuia wanaokimbia vita Sudan Kusini
Huwezi kusikiliza tena

Magenge yawazuia wanaokimbia vita Sudan Kusini

Shirika linalohudumia wakimbizi la UNHCR linasema kuwa magenge ya silaha yanawazuia watu wanaokimbia mapigano Sudan kusini kuelekea nchi jirani ya Uganda.

Shirika hilo la wakimbizi linadai kuwa magenge hayo yanapatikana katika barabara kuu kuelekea mpaka wa Uganda na kuwalazimisha vijana kujiunga katika makundi yao.

Mwandishi wetu wa Kampala Siraj kalyango hivi majuzi alikuwa kwenye mpaka wa Sudan Kusini na Uganda anatupasha.

Mada zinazohusiana