Zawose, kijana anayeenzi muziki wa asili Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Msafiri Zawose, kijana anayeenzi muziki wa asili Tanzania

Upigaji wa ala za muziki wa asili kama Marimba, Zeze na Filimbi umepungua kwa kiasi kikubwa kwa vijana wa kisasa waliotumbukia katika muziki wa kisasa wenye mahadhi ya kimagharibi.

Lakini hilo ni tofauti kwa msanii Msafiri Zawose wa Tanzania ambaye ameendelea na utamaduni wa asili wa kutumia vifaa hivyo.

Msanii huyo amezungumza na Mwandishi wetu Omary Mkambara