Tamasha ya Chapati kuvutia watalii Uganda
Huwezi kusikiliza tena

Tamasha ya Chapati kuvutia watalii Uganda

Kumefanyika tamasha ya kwanza nchini Uganda ya upishi wa mchanganyiko wa chapati na mayai ya kukaangwa, vyakula ambavyo baadaye kukunjwa.

Lengo la tamasha hiyo, ambayo hufahamika sana kama Rolex, ni kuwavutia watalii kutoka Ulaya.

Mwandishi wetu wa huko Siraj Kalyango alihudhuria tamasha hiyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.