Vyakula vya Uswahilini vinavyosahaulika
Huwezi kusikiliza tena

Vyakula vya Uswahilini vinavyosahaulika

Katika muendelezo wa makala zinazoangalia baadhi ya tamaduni zinazopotea katika mkoa wa Tanga, hivi leo mwandishi wetu Aboubakar Famau anaangazia vyakula vya asili mjini humo.