Nini suluhu ya mizozo ya ardhi Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Nini suluhu ya mizozo ya ardhi Tanzania?

Migororo ya ardhi nchini Tanzania imekuwa tatizo kubwa licha ya jitihada zinazochukuliwa na serikali na Taasisi mbalimbali.

Haba na Haba leo inauliza, Nini kinakwamisha upatikanaji wa suluhu ya kudumu ya migogoro ya ardhi nchini Tanzania?