Je,wanaume wanafaa kushiriki katika uzazi wa mpango?
Huwezi kusikiliza tena

Je,wanaume wanafaa kushiriki katika uzazi wa mpango?

Haba na Haba iko Mtwara nchini Tanzania ikizungumza na wananchi na viongozi wa serikali kuhusu uzazi wa mpango na ushiriki wa wanaume katika uzazi wa mpango