Samatta: Kupigania tuzo CAF ni heshima kwa Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Samatta: Kupigania tuzo ya CAF ni heshima kwa Tanzania

Mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta anayechezea KRC Genk ya Ubelgiji amesema kwamba kuingizwa kwenye kinyang'aniyo cha tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika ni heshima kuu kwa nchi yake.

Samatta, amesema amefurahi sana juu ya uteuzi huo, kwani anajiona anaendelea kuiwakilisha vyema nchi yake katika soka.

Amezungumza na mwandishi wa BBC Shedrack Mwansasu.