Tanzania na Morocco zatia saini mikataba ya kibiashara
Huwezi kusikiliza tena

Tanzania na Morocco zatia saini mikataba ya kibiashara

Tanzania na Morocco zimetia saini jumla ya mikataba 21ambayo inalenga sekta za kilimo, gesi, mafuta, usafirishaji na utalii, hatua inayotajwa kuwa itakuwa ni chanzo kikubwa katika kuinua uchumi wa Tanzania.

Morocco ni moja ya nchi barani Afrika zilizopiga hatua kubwa katika maendeleo ya kiuchumi

Hii ni ziara ya kwanza ya mfalme Mohamed VI iliyoanza nchini Rwanda, sasa Tanzania baadaye Ethiopia.

Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa na taarifa zaidi.