Mwanamuziki anayevumisha Reggae ya Kiswahili
Huwezi kusikiliza tena

Sparks: Mwanamuziki anayevumisha Reggae ya Kiswahili

Tasnia ya muziki imeendelea kukua katika nchi nyingi za Afrika Mashariki. Vijana nchini Rwanda wanauona muziki kama eneo la kujikwamua kiuchumi ingawa wanalazimika kuvumilia ukuaji wa taratibu wa tasnia hiyo.

Mwandishi wetu Arnold Kayanda alizungumza na Mselemu Said maarufu Sparks mjini Kigali kuhusiana na safari yake kimuziki.

Sparks anaimba muziki hata kwa mdundo wa Reggae.