Changamoto ‘kilimo cha chumvi’ Mtwara, Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Changamoto ‘kilimo cha chumvi’ Mtwara, Tanzania

Licha ya kufahamika zaidi kimataifa baada ya kugunduliwa kwa gesi na uzalishaji wa zao la biashara la korosho, mkoa wa Mtwara ulioko kusini mwa Tanzania pia ni maarufu kwa kilimo cha chumvi, inayotokana na maji ya bahari ambayo ndiyo inayozalishwa na kusambazwa kwa wingi nchini Tanzania, huku viwanda vingi vikiwa katika ukanda wa pwani.

Hata hivyo licha ya maeneo ya pwani ya kusini ikiwemo Mtwara, kuzalisha chumvi kwa wingi, bado kuna changamoto ya kutokuwekewa madini joto ambayo ni muhimu kwa afya ya binadamu.

Halima Nyanza alitembelea moja ya mashamba ya Chumvi mkoani Mtwara, kuzungumza na Mtaalamu wa masuala ya chakula na lishe na kutuandalia makala ifuatayo.

Mada zinazohusiana