Mwanamuziki anayehasisha kupitia nyimbo Sudan Kusini
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamuziki anayehamasisha kupitia nyimbo Sudan Kusini

Maya Nemaya ni mmoja wa wanamuziki mashuhuri nchini Sudan Kusini, ambaye pia ni muhamasishaji wa haki za vijana katika utawala bora, kuimarisha na kuhamasisha amani ambaye hufanya kazi hiyo uhamasishaji kwa njia ya muziki katika kumbi za starehe. Mwandishi wetu Esther Namuhisa, ametuandalia taarifa ifuatayo.

Mada zinazohusiana