Mlipuko wa kimeta uliotokea kwenye mbuga ya wanyama kaskazini mwa Tanzania umedhibitiwa
Huwezi kusikiliza tena

Mlipuko wa kimeta uliowauwa wanyama pori 130 Tanzania umedhibitiwa

Mlipuko wa ugonjwa wa kimeta uliotokea katika hifadhi ya taifa kaskazini mwa Tanzania na kuua takriban wanyama pori 130 hatimaye umedhibitiwa. Hayo ni kwa mujibu wa jopo la watalamu wa maswala ya afya waliokuwepo katika eneo hilo.

Wataalamu hao wamesema mpaka mwishoni mwa juma, jumla ya mizoga mia moja na thelathini ya wanyamapori wakiwemo nyumbu na swara imekwisha chomwa na kuzikwa. kama anavyofahamisha zaidi Aboubakar Famau.

Mada zinazohusiana