Mtanzania anayebadilisha taka kuwa mapambo
Huwezi kusikiliza tena

Lihepa, Mtanzania anayebadilisha taka kuwa mapambo

Consolata Lihepa ni msichana wa Kitanzania aliyeanzisha mradi wake wa kufanya usafi kwa kukusanya takataka na kuzibadilisha kuwa mapambo.

Ameuita mradi huo Turn Trush to Art.

Mwandishi wetu Omary Mkambara alimtembelea Consolata katika katika eneo lake la kazi lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam na kuandaa taarifa hii.

Mada zinazohusiana