Fidel Castro, alikuwa mwiba kwa Marekani
Huwezi kusikiliza tena

Fidel Castro, kiongozi aliyekuwa mwiba kwa Marekani

Fidel Castro ndiye kiongozi aliyeongoza taifa moja kwa muda mrefu zaidi duniani. Alinusurika majaribio mengi ya kumuua na alishuhudia marais 11 wa Marekani wakiingia madarakani na kuondoka. Alipata sifa na kushutumiwa vilevile.

Mada zinazohusiana