Mashua ya uvuvi wa mbali iliyoundiwa Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Mashua ya uvuvi wa mbali iliyoundiwa Kenya yaanza kazi Mombasa

Serikali ya Kaunti ya Mombasa imezindua mashua ya kwanza ya uvuvi wa mbali baharini iliyoundwa nchini Kenya.

Mashua hiyo yenye thamani ya dola laki mbili inatarjiwa kuwawezesha wavuvi kuvua kiasi cha tani elfu arobaini kila mwezi.

Mwandishi wetu Ferdinand Omondi alikuwa kwenye uzinduzi kuelewa umuhimu wa mashua hii kwa hali ya wavuvi Mombasa.