Wasanii wakabiliwa na changamoto Lamu
Huwezi kusikiliza tena

Wasanii wakabiliwa na changamoto Lamu

Wasanii wa kisiwa cha Lamu katika pwani ya Kenya wana nia kubwa ya kunawiri kwenye fani ya muziki lakini wanakabiliwa na changamoto za kipekee. Mwenzetu John Nene amezuru Lamu na kutuandalia ripoti hii..