Wanamuziki wahamia katika muziki wa Injili Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Wanamuziki wahamia katika muziki wa Injili Tanzania

Kinyume na miaka kadhaa nyuma ambayo vijana wengi nchini Tanzania wameonekana kuibuka na kupata mafanikio katika muziki wa kizazi kipya maarufu kama 'Bongo fleiva', hivi sasa wimbi la vijana wanaoelekea katika muziki wa Injili linazidi kuwa kubwa,

Mwandishi wetu Arnold Kayanda amefanya mazungumzo na kijana Milton Mugisha Kabendera muimbaji anayechipukia katika muziki wa Injili (gospel).