Jammeh "kukubali kushindwa"

Bwana Jammeh ameitawala Gambia tangu mwaka 1994 Haki miliki ya picha AFP
Image caption Bwana Jammeh ameitawala Gambia tangu mwaka 1994

Mkuu wa tume ya uchaguzi nchini Gambia anasema kuwa Rais Yahya Jammeh atakubali kushindwa kwenye uchaguzi wa Alhamis

Amesema kuwa si jambo la kawaida kwa rais wa Gambia kukubali kushindwa kabla ya kutangazwa kwa matokeo ya mwisho.

Hata hivyo hakuna taarifa yoyote kutoka kwa bwana Jammeh ambaye amekuwa nyumba ya kiongozi wa upinzani Adama Barrow kwenye matoke ya kwanza

Bwana Jammeh ameitawala Gambia tangu mwaka 1994 kufuatia mapinduzi ya kijeshi na sasa anawania muhula wa tano.

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii