Ushindani mkali uchaguzi mkuu Ghana
Huwezi kusikiliza tena

Ushindani mkali uchaguzi mkuu Ghana

Ikiwa imebaki siku moja tu, raia wa Ghana kupiga kura kumchagua rais tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo inasema kila kitu kimekamilika kwa wananchi kufika vituoni na kuchagua wanayemtaka.

Mwandishi wa BBC Salim Kikeke yupo nchini Tanzania na ametuandalia taarifa ifuatayo.

Mada zinazohusiana