Mbona baadhi ya wenye Ukimwi hukosa dawa Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Mbona baadhi ya wenye Ukimwi hukosa dawa Tanzania?

Wiki hii katika kipindi cha Haba na Haba tunaangazia maambukizi ya virusi vya Ukimwi.

Tunajadili ni kwa nini kinashindikana kwa kila muathirika wa virusi vya ukimwi nchini Tanzania kupata dawa za kupunguza makali ya Ukimwi, yaani ARVs.

Mada zinazohusiana