Kuongeza maelezo ya watu Wikipedia
Huwezi kusikiliza tena

Wanawake 100: Kuongeza maelezo ya watu Wikipedia

Je, wajua wanawake ni asilimia 17% pekee ya watu mashuhuri ambao wasifu zao au maelezo kuwahusu yamo kwenye mtandao wa Wikipedia?

Unaweza kumaliza ubaguzi huu kwa kuongeza maelezo ya wanawake mashuhuri kwenye Wikipedia.

Tazama video kujua njia ya kufanya hivi.

Mada zinazohusiana