Hospitali ya kipekee inayowahudumia punda Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Hospitali ya kipekee inayowahudumia punda Lamu, Kenya

Kuna hospitali ya kuwatibu punda ambayo ni ya kipekee mjini Lamu, pwani ya Kenya.

Hospitali hiyo ilianzishwa mwaka wa 1987, na mwakani itatimiza miaka 30 ya huduma zake kwa punda hao.

John Nene ametuandalia ripoti hii.

Mada zinazohusiana