Saida Karoli: Narejea, tena kwa kishindo
Huwezi kusikiliza tena

Saida Karoli: Narejea, tena kwa kishindo

Saida Karoli ni jina lililokuwa limejipatia umaarufu wakati fulani, katika anga za muziki wa asili, kwenye eneo la Afrika Mashariki na Kati lakini baadaye akafifia.

Sasa, anasema amerudi tena kwa nguvu mpya.

Amezungumza na Munira Hussein.

Mada zinazohusiana