Mahangaiko ya wagonjwa Kenya kutokana na mgomo
Huwezi kusikiliza tena

Mahangaiko ya wagonjwa Kenya kutokana na mgomo madaktari

Wakati mgomo wa wahudumu wa afya nchini kenya ukiingia siku ya nne, wagonjwa nchini humo wamelazimika kutumia huduma za hospitali binafsi na zile zinazoendeshwa na mashirika yasiyo ya kiserekali.

Mwandishi wetu Bashkas Jugsodaay ametembelea hospitali ya shirika lisilo la kiserekali la Simaho eneo la Garissa, kaskazini mashariki mwa Kenya kujionea hali ilivyo.

Mada zinazohusiana