Kenya yakumbwa na changamoto za kuuza mafuta yake
Huwezi kusikiliza tena

Kenya yakumbwa na changamoto za kuuza mafuta yake

Kenya inajitayarisha kuanza kusafirisha mafuta mwaka ujao. Nchi hiyo ina hamu ya kuingia katika soko la mafuta, lakini kuna wasiwasi kuwa mipango haijakamilika, na itakuwa na gharama kubwa. Matumaini ya kupata dola za mafuta yanaibua matumaini hasa Turkana - eneo kavu la kaskazini-magharibi ambako mafuta yaligunduliwa.

Nancy Kacungira anaarifu: