Mahrez ndiye mchezaji bora Afrika 2016
Huwezi kusikiliza tena

Riyad Mahrez ashinda tuzo ya BBC ya mchezaji bora Afrika

Riyad Mahrez ametawazwa kuwa Mwanakandanda Bora wa Afrika wa BBC wa Mwaka 2016.