Salamu zisizokuwa za kawaida nchini Cameroon

Pierre Ismael Bidoung Mpkatt akimsalimia Paul Biya Haki miliki ya picha Twitter / @PaolaAudrey
Image caption Pierre Ismael Bidoung Mpkatt akimsalimia Paul Biya

Tangu waziri wa michezo nchini Cameroon Pierre Ismael Bidoung Mpkatt ainame wakati akimsalimia rais wa nchi hiyo Paul Biya, picha hizo zilisambaa mitandaoni.

Watu nchini Cameroon wamekuwa wakiiga picha hizo na hata kuifanyia mabadiliko.

Haki miliki ya picha Twitter / @afrik2_radio
Image caption Salamu zisizokuwa za kawada Cameroon

Mfano mwingine ulibuniwa.

Haki miliki ya picha Twitter / @CheyssonY
Image caption Salamu zisizokuwa za kawada Cameroon

Huyu naye alishuka hata chini Zaidi.

Haki miliki ya picha Twitter / @waldrigue
Image caption Salamu zisizokuwa za kawada Cameroon

Huyu jamaa naye aliamua kushuka.

Haki miliki ya picha Twitter / @zebstatou
Image caption Salamu zisizokuwa za kawada Cameroon

Wanyama pia walishiriki.

Haki miliki ya picha Twitter / @zebstatou
Image caption Salamu zisizokuwa za kawada Cameroon

Je umeiona hii?

Haki miliki ya picha Twitter / @Enn_Cee_Kay
Image caption Salamu zisizokuwa za kawada Cameroon

Na hata mbuzi huyu alishirikishwa ambaye picha yake iliwekaa mtandao wa Facebook.

Haki miliki ya picha Facebook / CulturEbene
Image caption Salamu zisizokuwa za kawada Cameroon

Mada zinazohusiana