Kampeni ya kupinga dhuluma za jinsia Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Kampeni ya kupinga dhuluma za jinsia Tanzania

Kampeni ya siku 16 kuhamasisha jamii kuachana na dhuluma za jinsia imekamilika mwishoni mwa juma.

Kampeni hiyo ambayo huanza Novemba 25 na hadi Desemba 10 kila mwaka na nchini Tanzania kilele cha kampeini hii kilikua kuhamasisha raia kuhusu kitengo cha jinsia katika idara ya polisi.

Munira Hussein alishuhudia na kuandaa taarifa hii.

Mada zinazohusiana