Mbwa wa Putin abweka na kuchezea wanahabari
Huwezi kusikiliza tena

Mbwa wa Putin abweka na kuchezea wanahabari Japan

Mbwa wa Rais wa Urusi Vladimir Putin 'aliwakaribisha' wanahabari wa Japan kwa kubweka kwa nguvu kabla ya kuchezacheza na Bw Putin kiongozi huyo alipotua nchini Japan.

Mbwa jike huyo kwa jina Yume ni wa aina ya Akita na alikabidhiwa kwa Putin na Japan kama zawadi mwaka 2012.

Majuzi, Bw Putin alikataa zawadi ya mbwa mwingine ambaye ilitarajiwa angekabidhiwa akiwa kwenye ziara ya sasa.

Mada zinazohusiana