Traore Maidou, mwanamke aliyefanikiwa Afrika Kusini
Huwezi kusikiliza tena

Traore Maidou, mwanamke aliyefanikiwa Afrika Kusini

Delphine Traore Maidou ni afisa mkuu mtendaji wa Allianz Global Corporate Speciality, Africa na mimi ni mama wa watoto wawili.

Anasema wakati pekee ambao yeye hupata kufanya mambo yake ni asubuhi.

Mada zinazohusiana