Wasichana watoroka kukeketwa Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Wasichana watoroka kukeketwa eneo la Pokot, magharibi mwa Kenya

Maeneo kadhaa ya mashambani nchini Kenya, mamia ya wasichana wametoroka makwao ili kukwepa kukeketwa na kukimbilia vituo maalum vya kuwalinda. Mwandishi wa BBC Robert Kiptoo ametembelea eneo la Pokot magharibi ambapo utamaduni wa kuwakeketa wasichana umekolea.