Kwa Picha: Afrika wiki hii, 9 Desemba-15 Desemba 2016

Baadhi ya picha bora zaidi kutoka kote Afrika wiki hii:

Vijana wakipiga mbizi katika fukwe za Cape Town nchini Afrika Kusini Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Vijana wakipiga mbizi katika fukwe za Cape Town nchini Afrika Kusini
Mwanamme akimrusha msichana hewani kabla hajashiriki kwenye mashindano ya kucheza densi huko Palais de la Culture nchini Ivory Coast Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mwanamme akimrusha msichana hewani kabla hajashiriki kwenye mashindano ya kucheza densi huko Palais de la Culture nchini Ivory Coast
Mrusha mkuki akishirinki kwenye mashindano ya Jumamosi ya Maasai Olympics kwenye mbuga ya Sidai Oleng nchini Kenya Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Mrusha mkuki akishirinki kwenye mashindano ya Jumamosi ya Maasai Olympics kwenye mbuga ya Sidai Oleng nchini Kenya
Mwanamke akipakw arangi nyekundu usoni ambapo tamaduni na michezo vilisherehekewa Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Mwanamke akipakw arangi nyekundu usoni ambapo tamaduni na michezo vilisherehekewa
Mjini Nairobi mwanamuziki mashuhuri Ayub Ogada, anafanya tamasha akitumia ala ya Nyatiti Haki miliki ya picha AP
Image caption Mjini Nairobi mwanamuziki mashuhuri Ayub Ogada, anafanya tamasha akitumia ala ya Nyatiti
Mwanamke akiuza zawadi za krismasi katika barabara za mji wa Lagos nchini Nigeria Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Mwanamke akiuza zawadi za krismasi katika barabara za mji wa Lagos nchini Nigeria
Kijana wa kiume akisherehekea siku ya kuzaliwa kwa mtume Mohammad Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Kijana wa kiume akisherehekea siku ya kuzaliwa kwa mtume Mohammad
Msichana huyu naye hakuachwa nyuma wakati wa sherehe hizo Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Msichana huyu naye hakuachwa nyuma wakati wa sherehe hizo
Mashabiki wa raga wakati wa mechi kati ya England na Scotland huko Cape Town Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mashabiki wa raga wakati wa mechi kati ya England na Scotland huko Cape Town
Puto la kutalii katika anga za mji wa kale wa Luxor nchini Misri Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Puto la kutalii katika anga za mji wa kale wa Luxor nchini Misri
Mvua kubwa ilisababisha mchezo wa gofu kuhairishwa katika uwanja huu wa gofu nchini Mauritius Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Mvua kubwa ilisababisha mchezo wa gofu kuhairishwa katika uwanja huu wa gofu nchini Mauritius

Pichakwa hisani ya AFP, AP, EPA, Reuters

Kuhusu BBC