Tetetemo kubwa la ardhi laikumba Papua New Guinea

Tetemeko la ardhi liakumba Papua New Guinea
Image caption Tetemeko la ardhi liakumba Papua New Guinea

Tetemeko kubwa la ardhi lenye uzito wa 7.9 katika vipimo vya richa ambalo lilikumba eneo la pwani ya Papua New Guinea linaonekana kusababisha uharibifu kidogo au kukosa kutosababisha uharibifu kabisa.

Wakaazi wengi wa pwani mwa nchi walianza kukimbia maeneo hayo.

Licha ya mawimbi kadha kuonekana sasa tangazo la tahadhari limetolewa.

Ni mitetemeko ya ardhi michache ya viwango kama hivyo hutokea duniani kila mwaka na nguvu za kuharibu za tetemeko hilo zinaonekana kupungua kutokana na umbali wake.