Chelsea yaishinda Cyrstal Palace bao 1-0

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Diego Costa ndiye mfungaji bora wa ligi akiwa na mabao 13

Chelsea wamefungua mwaya wa pointi tisa baada ya kuwazima Crysral Palace na kusalia kileleni mwa jedwali la ligi.

Diego Costa aliwafungia Chelsea baada ya kuapata pasi safi kutoka kwa Cezar Azpilicueta.

Hata hivyo Palace noa walipoteza fursa nzuri baada ya Jason Pucheon kupoteza free Kick.

Chelsea wamemfuta Jose Mourinho kwa mara ya pili miezi saba baada ya kuwaongoza kushinda ligi.

Chelsea ambao walimalizi nafasi ya 10 mwaka 2105 wanaongaza kwa pointi 9 waking'ang'ania kushinda taji la tano.