Mwanamke mkuu wa setilaiti kutoka Nigeria
Huwezi kusikiliza tena

Abimbola Alale, Mwanamke mkuu wa setilaiti kutoka Nigeria

Abimbola Alale ni afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya Satellite Communications Ltd ya Nigeria.

Ndiye mwanamke pekee mkuu wa kampuni ya mawasiliano ya setilaiti katika eneo lote la Ulaya, Mashariki ya Kati na Afrika.

Anahitimisha makala ya BBC ya wanawake wenye ushawishi barani Afrika mwaka huu.

Mada zinazohusiana