Faraja kwa wenye madhila ya fistula Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Faraja kwa wenye madhila ya fistula Tanzania

Kutokana na uelewa mdogo wa ugonjwa wa fistula katika nchi nyingi barani Afrika, ndoa za baadhi ya wanawake huvunjika kutokana na matokeo ya ugonjwa huu.

Nchini Tanzania kituo cha Mabinti Centre chini ya hospitali ya CCBRT wanatoa mafunzo ya ushonaji kwa wanawake waliopata nafuu ili waweze kujikwamua kimaisha na kuondokana na madhila ya ugonjwa huo.

Munira Hussein alitembelea kituo hicho na kuandaa taarifa ifuatayo.

Mada zinazohusiana