Shambulio la kigaidi laendelea kuathiri utalii Lamu
Huwezi kusikiliza tena

Shambulio la kigaidi laendelea kuathiri utalii Lamu

Tangu magaidi wa Al Shabaab wamteke nyara mtalii Judith Tebutt kutoka Uingereza mwaka wa 2011, na kumuua mumewe sehemu ya Kiwayu kaunti ya Lamu, biashara eneo hilo haijashamiri bado. Hii ni kutokana na ukosefu wa watalii ambao wangali wanahofia usalama wao. Hatahivyo, kwa sasa hali ya usalama ni shwari huko...Miongoni mwa wafanya biashara wanaoathirika ni mchoraji picha Simon Andere wa mtaa wa Shela…John Nene amezungumza naye alipokua huko…