Wewe kama raia wa Tanzania mipango yako ni ipi 2017 ?
Huwezi kusikiliza tena

Wewe kama raia wa Tanzania mipango yako ni ipi 2017 ?

Mwaka 2016 umeisha na pengine kuna mipango ulipanga haikutimia na pengine imetimia na umeweka mipango gani mwaka 2017