Vijana wakamatwa kwa kupanga kuwashambulia watalii na wenyeji Mombasa
Huwezi kusikiliza tena

Vijana 50 wakamatwa kwa tuhuma za kupanga kuwashambulia watalii na wenyeji Mombasa

Takriban vijana 50 wanaoshukiwa kuwa na mipango ya kuwavamia watalii na wenyeji wa mji wa kitalii wa Mombasa nchini Kenya wanatarajiwa kufikishwa mahakamani

Vijana hao walinaswa kwenye operesheni ya usalama iliyoandaliwa na maafisa wa polisi mjini humo.

Abdinoor Aden na maelezo zaidi.