Vikapu vinavyotumiwa kuchemsha maji Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Vikapu vinavyotumiwa kuchemsha maji na kupika Tanzania

Nailoni na majani ambayo ni takataka katika mazingira vinatumiwa kutengeneza vikapu ambavyo vinaweza kuchemsha maji pamoja na chakula.

Ubunifu huu unaosaidia kutunza mazingira na kupunguza gharama, unafanyika mkoani Manyara, wilaya ya babati kaskazini mwa Tanzania.

Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa alizungumza na mmoja wa akina mama wanaotengeneza vikapu hivyo.

Mada zinazohusiana