Golden Globes: Orodha kamili ya washindi 2017

Viola Davis Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Viola Davis alishinda tuzo ya mwigizaji bora msaidizi wa kike

Hii hapa ni orodha ya washindi na waliokuwa wanashindania tuzo kuu za filamu na televisheni nchini Marekani za Golden Globe makala ya 74.

Washindi wa tuzo hizo, makala ya 74, wametangazwa kwenye hafla iliyofanyika mjini Los Angeles.

Filamu ya vichekesho yenye mtungo wa muziki 'La La Land' imeshinda tuzo saba.

Damien Chazelle alishinda tuzo ya mwelekezi bora wa filamu hiyo nao Ryan Gosling na Emma Stone wakishinda tuzo ya waigizaji bora wa kiume na kike mtawalia.

Filamu ya Moonlight ilishinda tuzo ya filamu bora zaidi.

Casey Affleck ameshinda mwigizaji bora katika vipindi vya Televisheni kwa uigizaji wake Manchester by Sea.

Isabelle Huppert aliyecheza filamu ya Kifaransa ya Elle ameshinda tuzo ya mwigizaji bora wa kike.


Filamu

Filamu bora zaidi - Igizo

 • Mshindi: Moonlight
 • Hacksaw Ridge
 • Hell or High Water
 • Lion
 • Manchester by the Sea

Filamu bora zaidi - Ucheshi au iliyowasilishwa kwa njia ya muziki

 • Mshindi: La La Land
 • 20th Century Women
 • Deadpool
 • Florence Foster Jenkins
 • Sing Street

Mwigizaji bora zaidi wa kiume katika filamu - Igizo

 • Mshindi: Casey Affleck - Manchester by the Sea
 • Joel Edgerton - Loving
 • Andrew Garfield - Hacksaw Ridge
 • Viggo Mortensen - Captain Fantastic
 • Denzel Washington - Fences

Mwigizaji bora zaidi wa kike katika filamu- Igizo

 • Mshindi: Isabelle Huppert - Elle
 • Amy Adams - Arrival
 • Jessica Chastain - Miss Sloane
 • Ruth Negga - Loving
 • Natalie Portman - Jackie
Haki miliki ya picha Roadside Attractions/Amazon Studios
Image caption Manchester by the Sea iliteuliwa kushindania tuzo tano

Mwigizaji bora zaidi wa kiume katika filamu - Ucheshi au iliyowasilishwa kwa njia ya muziki

 • Mshindi: Ryan Gosling - La La Land
 • Colin Farrell - The Lobster
 • Hugh Grant - Florence Foster Jenkins
 • Jonah Hill - War Dogs
 • Ryan Reynolds - Deadpool

Mwigizaji bora zaidi wa kike katika filamu - Ucheshi au iliyowasilishwa kwa njia ya muziki

 • Mshindi: Emma Stone - La La Land
 • Annette Bening - 20th Century Women
 • Lily Collins - Rules Don't Apply
 • Hailee Steinfeld - The Edge of Seventeen
 • Meryl Streep - Florence Foster Jenkins

Mwigizaji msaidizi bora zaidi wa kiume

Mshindi: Aaron Taylor-Johnson - Nocturnal Animals

 • Mahershala Ali - Moonlight
 • Jeff Bridges - Hell or High Water
 • Simon Helberg - Florence Foster Jenkins
 • Dev Patel - Lion

Mwigizaji msaidizi bora zaidi wa kike

 • Mshindi: Viola Davis - Fences
 • Naomie Harris - Moonlight
 • Nicole Kidman - Lion
 • Octavia Spencer - Hidden Figures
 • Michelle Williams - Manchester by the Sea
Haki miliki ya picha Lionsgate
Image caption La La Land, ambayo waigizaji nyota ni Ryan Gosling Emma Stone, ilikuwa inashindania tuzo saba

Mwelekezi bora zaidi - Filamu

Mshindi: Damien Chazelle - La La Land

 • Tom Ford - Nocturnal Animals
 • Mel Gibson - Hacksaw Ridge
 • Barry Jenkins - Moonlight
 • Kenneth Lonergan - Manchester by the Sea

Uigizaji bora zaidi - Filamu

 • Mshindi: Damien Chazelle - La La Land
 • Tom Ford - Nocturnal Animals
 • Barry Jenkins - Moonlight
 • Kenneth Lonergan - Manchester by the Sea
 • Taylor Sheridan - Hell or High Water

Filamu bora zaidi ya katuni hai

 • Mshindi: Zootopia
 • Kubo and the Two Strings
 • Moana
 • My Life as a Zucchini
 • Sing

Filamu bora zaidi ya lugha ya kigeni

 • Mshindi: Elle
 • Divines
 • Neruda
 • The Salesman
 • Toni Erdmann

Midundo bora zaidi - filamu

 • Mshindi: Justin Hurwitz - La La Land
 • Hans Zimmer, Pharrell Williams, Benjamin Wallfisch - Hidden Figures
 • Dustin O'Halloran, Hauschka - Lion
 • Johann Johannsson - Arrival
 • Nicholas Britell - Moonlight

Wimbo bora zaidi asilia - filamu

 • Mshindi: City of Stars - La La Land
 • Can't Stop the Feeling - Trolls
 • Faith - Sing
 • Gold - Gold
 • How Far I'll Go - Moana

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Billy Bob Thornton alishinda tuzo ya mwigizaji bora wa kiume wa filamu za televisheni wa kiume

Televisheni

Mwendelezo bora zaidi wa filamu za televisheni - Igizo

 • Mshindi: The Crown
 • Game of Thrones
 • Stranger Things
 • This is Us
 • Westworld

Mwendelezo bora zaidi wa filamu za televisheni - Ucheshi au iliyowasilishwa kwa njia ya muziki

 • Mshindi: Atlanta
 • Black-ish
 • Mozart in the Jungle
 • Transparent
 • Veep

Mwendelezo mdogo bora zaidi wa filamu au filamu bora zaidi za televisheni

Mshindi: The People v OJ Simpson: American Crime Story

 • American Crime
 • The Dresser
 • The Night Manager
 • The Night Of
Image caption Hugh Laurie na Tom Hiddleston walishinda kwa uigizaji wao The Night Manager

Mwigizaji bora zaidi wa kiume katika mwendelezo wa filamu za televisheni - Igizo

 • Mshindi: Billy Bob Thornton - Goliath
 • Rami Malek - Mr Robot
 • Bob Odenkirk - Better Call Saul
 • Matthew Rhys - The Americans
 • Liev Schreiber - Ray Donovan

Mwigizaji bora zaidi wa kike katika mwendelezo wa filamu za televisheni - Igizo

 • Mshindi: Claire Foy - The Crown
 • Caitriona Balfe - Outlander
 • Keri Russell - The Americans
 • Winona Ryder - Stranger Things
 • Evan Rachel Wood - Westworld

Mwigizaji bora zaidi wa kiume katika mwendelezo wa filamu za televisheni - Ucheshi au iliyowasilishwa kwa njia ya muziki

 • Mshindi: Donald Glover - Atlanta
 • Anthony Anderson - Black-ish
 • Gael Garcia Bernal - Mozart in the Jungle
 • Nick Nolte - Graves
 • Jeffrey Tambor - Transparent

Mwigizaji bora zaidi wa kike katika mwendelezo wa filamu za televisheni - Ucheshi au iliyowasilishwa kwa njia ya muziki

 • Mshindi: Tracee Ellis Ross - Black-ish
 • Rachel Bloom - Crazy Ex-Girlfriend
 • Julia Louis-Dreyfus - Veep
 • Sarah Jessica Parker - Divorce
 • Issa Rae - Insecure
 • Gina Rodriguez - Jane the Virgin
Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Thandie Newton alishinda kupitia Westworld ya HBO

Mwigizaji bora zaidi wa kiume katika mwendelezo mdogo wa filamu au filamu za televisheni

 • Mshindi: Tom Hiddleston - The Night Manager
 • Riz Ahmed - The Night Of
 • Bryan Cranston - All the Way
 • John Turturro - The Night Of
 • Courtney B Vance - The People v OJ Simpson: American Crime Story

Mwigizaji bora zaidi wa kike katika mwendelezo mdogo wa filamu au filamu za televisheni

 • Mshindi: Sarah Paulson - The People v OJ Simpson: American Crime Story
 • Felicity Huffman - American Crime
 • Riley Keough - The Girlfriend Experience
 • Charlotte Rampling - London Spy
 • Kerry Washington - Confirmation

Mwigizaji bora wa kiume msaidizi katika mwendelezo mdogo wa filamu au filamu za televisheni

 • Mshindi: Hugh Laurie - The Night Manager
 • Sterling K Brown - The People v OJ Simpson: American Crime Story
 • John Lithgow - The Crown
 • Christian Slater - Mr Robot
 • John Travolta - The People v OJ Simpson: American Crime Story

Mwigizaji bora wa kike msaidizi katika mwendelezo mdogo wa filamu au filamu za televisheni

 • Mshindi: Olivia Colman - The Night Manager
 • Lena Headey - Game of Thrones
 • Chrissy Metz - This is Us
 • Mandy Moore - This is Us
 • Thandie Newton - Westworld

Mada zinazohusiana