Pikipiki mpya za polisi Uganda zazua mjadala
Huwezi kusikiliza tena

Usalama: Pikipiki mpya za polisi Uganda zazua mjadala

Jeshi la Polisi la Uganda limeanza mwaka mpya wa 2017 na ari, nguvu na kasi mpya ya kulinda Waganda na mali yao dhidi ya majambazi pamoja na magaidi.

Jeshi limepata vifaa vipya vya kutumia katika kazi hiyo. Hata hivyo baadhi ya raia wanaona vifaa hivyo havifai na vimepitwa na wakati.

Pikipiki inayodaiwa ni muundo wa kizamani ndiyo inayowapa wananchi wasiwasi.

Mwandishi wetu Siraj Kalyango na taarifa zaidi.

Mada zinazohusiana