Ukuaji wa uchumi Tanzania unamfaa mwananchi?
Huwezi kusikiliza tena

Ukuaji wa uchumi Tanzania unamfaa mwananchi?

Kwa mujibu wa shirika la fedha duniani, IMF, limesema Tanzania ni nchini ya pili kwa kasi ya ukuaji wa uchumi barani Afrika, ambapo kiwango cha ukuaji wa uchumi wake wake ni 7%.

Haba na Haba leo inauliza, je ukuaji huo wa uchumi una maana gani kwako?

Mada zinazohusiana