Fundi asiyeona anayewafunza wengine Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Fundi asiyeona anayewafunza wengine Tanzania

Mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania – Tantrade - imeanzisha mafunzo maalum ya ushonaji nguo kwa watu wasioona.

Abdalla Nyangalio ni fundi mwenye ulemavu wa macho ambaye amepewa fursa ya kuongoza darasa hilo pamoja na kuwafundisha watu hao wenye ulemavu wa macho.

Mwandishi wa BBC, Esther Namuhisa ametembelea darasa hilo na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Mada zinazohusiana