Kwa Picha: Afrika Wiki Hii 7 - 13 Januari 2017

Mkusanyiko wa picha bora zaidi kutoka Afrika wiki hii:

Jumamosi tarehe 7 Januari, kijana Ghana anatangaza upendo wake kwa Rais mpya Nana Akufo-Addo wakati wa kuapishwa kwake mjini Accra Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Jumamosi tarehe 7 Januari, kijana Ghana anatangaza upendo wake kwa Rais mpya Nana Akufo-Addo wakati wa kuapishwa kwake mjini Accra
Mchezaji ngoma Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Siku iyo hiyo, mchezaji ngoma anatumbuiza...
Nana Akufo-Addo Haki miliki ya picha EPA
Image caption Nao wanaume hawa wanapiga baragumu.
Bouake, Ivory Coast Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Katika nji jirani ya Ivory Coast, Jumamosi wanajeshi waligoma na kuingia barabara za mji wa Bouake, mji wa pili kwa ukubwa nchini humo Jumamosi wakidai marupurupu...
Bouake Haki miliki ya picha AFP
Image caption Habari za mgomo wao zilitatiza uchukuzi. Magari yalishindwa kuingia Bouake na kuwaacha abiria wakiwa wamekwama.
#BringBackOurGirls Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Jumapili, wanachama wa kundi la kampeni ya #BringBackOurGirls waliandamana Abuja, Nigeria kuadhimisha siku 1,000 tangu kutekwa kwa wasichana wa shule Chibok...
#BringBackOurGirls Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Waandamanaji hao hata hivyo walitawanywa na polisi.
Mlinzi analinda awamu ya kwanza ya mabehewa ya kutumiwa kwenye treni ya reli ya kisasa ambayo yalizinduliwa mjini Mombasa, Kenya Jumatano Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mlinzi analinda awamu ya kwanza ya mabehewa ya kutumiwa kwenye treni ya reli ya kisasa ambayo yalizinduliwa mjini Mombasa, Kenya Jumatano
Juba Haki miliki ya picha AFP
Image caption Jumatano pia, wachezaji hawa wa mpira wa kikapu wa walemavu walifanya mazoezi mjini Juba
Tunisia Haki miliki ya picha AFP
Image caption Huku nchini Tunisia wavulana wakirusha mawe kuelekea kituo cha polisi karibu na mpaka wa nchi hiyo na Libya kulalamikia marufuku ya biashara mpakani.
Emmanuel Niyonkuru Haki miliki ya picha AFP
Image caption Jumanne, bintiye waziri wa maji Burundi Emmanuel Niyonkuru aliyeuawa na watu wenye silaha akibariki kaburi la babake wakati wa mazinshi Bujumbura
Algeria Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Na Jumatano, polisi wa Algeria alitazama msichana ambaye familia yake haina makao akinywa 'Supu ya Majira ya Baridi'. Polisi walijitolea kuwapa supu watu wasio na makao Algiers msimu huu ambao kuna baridi kali.Algiers.
Kaduna Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Jumatatu, watoto waliotoroka mapigano kusini mwa Kaduna, Nigeria wanaonekana wakiwa wamesimama karibu na nyumba ambapo waliomba hifadhi.

Picha kwa hisani ya AFP, EPA, Reuters

Mada zinazohusiana

Kuhusu BBC