Kijana Mkenya umechukua kura?
Huwezi kusikiliza tena

Kijana Mkenya umechukua kura na uko tayari kuitumia vyema?

Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya-IEBC imeanza awamu ya mwisho kuwasajili wapiga kura kabla ya uchaguzi Mkuu hapo mwezi Agosti. Shughuli hii inachukua mwezi mmoja. Vyama na mirengo ya kisiasa zimeanza kuwashawishi wafuasi wao kuhakikisha wanasajiliwa kama wapiga kura